Hata kama sio haki wao wakae tu mikia fc mnashindwa uwanjani mnataka mezaniViongozi Na wanachama wa Simba kuweni makini Na sakata la Pointi 3 zinazopiganiwa Na klabu ya Kagera.Kwa taarifa yenu Yanga iko nyuma ya klabu ya Kagera wakishirikiana Na uongozi wa Juu wa TFF wakiongozwa Na Rais wake Na Katibu MKUU.Ushaidi umekuwa wa kutafutatafuta wakati maamuzi yalikwisha tolewa Na Kamati husika.
Na hayo magoli kagera atahesabiwa kama kafungwa yeye?mkuu sijauliza kanuni imetungwa wapi
nimeuliza goli 3 za simba dhidi ya kagera (_goli za mezani ) wafungaji ni nani na nani?
Soma sheria za soka.. Utaelewa..!ujue mashabiki wa simba wanapenda kulalamika bule wakat mechi inachezwa kwann wasilalamike apo simba wametoa rushwa wakapewa point za bure sasa uhakika umepatikana watu wanataka point zao ata hao wachezaji wa Africa lion wamesema jamaa akupewa kadi sasa mechi gani alipewa kama sio mbeleko
Nenda siasani, mpira tuachie sisi tunaoujua na kuucheza!kwa hiyo sharia za soka zinasema ukifungwa uwanjani nenda kadai point za bure bure mezani?
Zoba anappjilazimisha kuwa mtu wa soka ndo huja na maswali kama haya!we sema wafungaji ni akina nani na magoli yalifungwa dakika ya ngapi?
Nyambaff, sorry!Mpira dk 90 uwanjani haya mengine ni kujitia ujinga tu wafungaji wa goli tatu nani sasa waache umbumbumbuu wapambane uwanjani mezani ya nn tena kama umefungwa umefungwa tu kubalini matokeo
Tatizo mpira hamjui mnataka msaadaNyambaff, sorry!
simba sikuiz wanaweza kuamua chochote kutokana wanabebwa na mvulugwa malinda waoSoma sheria za soka.. Utaelewa..!
Ww nawe kama uhakika umepatikana kwa nini wasitoe maamuzi janaujue mashabiki wa simba wanapenda kulalamika bule wakat mechi inachezwa kwann wasilalamike apo simba wametoa rushwa wakapewa point za bure sasa uhakika umepatikana watu wanataka point zao ata hao wachezaji wa Africa lion wamesema jamaa akupewa kadi sasa mechi gani alipewa kama sio mbeleko
Kadi 3 but 1 alipata kwenye FA na 2 kwenye ligi!!Mbona unachanganya?Zinasema ukichezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano unapokwa point 3 na goli 3 anapewa your opponent upo??
Simba Wasipochukua Ubingwa Wana Hali Mbaya Sana kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wao. Point 3 Za Kagera Ni Muhimu Sana Kwao. Wanasimba chochea moto point tatu za kagera zinogeshe ubingwa, Hata hii yanga majeruhi inawashinda?Viongozi Na wanachama wa Simba kuweni makini Na sakata la Pointi 3 zinazopiganiwa Na klabu ya Kagera.Kwa taarifa yenu Yanga iko nyuma ya klabu ya Kagera wakishirikiana Na uongozi wa Juu wa TFF wakiongozwa Na Rais wake Na Katibu MKUU.Ushaidi umekuwa wa kutafutatafuta wakati maamuzi yalikwisha tolewa Na Kamati husika.
Mkuu imekuwa nongwa sana Simba kupewa alama 3 ambao ni katika sheria za sokaIvi kumbe hizo sheria zimetungwa Kwa baadhi ya timu na siyo simba Leo ndio nimejua kipindi simba au azam wanapokwa point hakuna yeyote aliyesema
Nyambafff, sorry!Tatizo mpira hamjui mnataka msaada
Na simba hiyo hiyo imewahi kupokwa point 3, sijui hawa ndala bado wamepoteana kama alivyosema spika??!!Mkuu imekuwa nongwa sana Simba kupewa alama 3 ambao ni katika sheria za soka
Ajabu ni kuona kuna watu wacheua povu tu ilhali si mara ya kwanza kutokea timu kupokwa point..!
Refa alituma ripoti ya mchezo husika kupitia email ya rafiki yake (stupid)kamati ikamtaka awape password huyo rafiki yake akatuma fake password wakashindwa kufungua ...wakamuuliza referee kila mara unatumia email gani akakosa jibu....Referee wa akiba yule dada aliyechezesha AFCON ya kina dada alikuwa referee wa akiba akadai Fakhi alikuwa ametoka uwanjani baada kuumia huku ripoti ya referee ikionyesha kadi ya njano katika dakika ambazo Fakhi alishatoka uwanjani...Simba wafukuzeni viongozi wenu ni wahuni wa mjini.....Ripoti ya refa ndio final and conclusive muhimu kuizingatia ili haki itendeke