Simba sports club kuweni makini TFF kupitia Kagera wanataka kuisaidia Yanga.

ujue mashabiki wa simba wanapenda kulalamika bule wakat mechi inachezwa kwann wasilalamike apo simba wametoa rushwa wakapewa point za bure sasa uhakika umepatikana watu wanataka point zao ata hao wachezaji wa Africa lion wamesema jamaa akupewa kadi sasa mechi gani alipewa kama sio mbeleko
 
Viongozi Na wanachama wa Simba kuweni makini Na sakata la Pointi 3 zinazopiganiwa Na klabu ya Kagera.Kwa taarifa yenu Yanga iko nyuma ya klabu ya Kagera wakishirikiana Na uongozi wa Juu wa TFF wakiongozwa Na Rais wake Na Katibu MKUU.Ushaidi umekuwa wa kutafutatafuta wakati maamuzi yalikwisha tolewa Na Kamati husika.
Hata kama sio haki wao wakae tu mikia fc mnashindwa uwanjani mnataka mezani
 
mkuu sijauliza kanuni imetungwa wapi

nimeuliza goli 3 za simba dhidi ya kagera (_goli za mezani ) wafungaji ni nani na nani?
Na hayo magoli kagera atahesabiwa kama kafungwa yeye?
 
ujue mashabiki wa simba wanapenda kulalamika bule wakat mechi inachezwa kwann wasilalamike apo simba wametoa rushwa wakapewa point za bure sasa uhakika umepatikana watu wanataka point zao ata hao wachezaji wa Africa lion wamesema jamaa akupewa kadi sasa mechi gani alipewa kama sio mbeleko
Soma sheria za soka.. Utaelewa..!
 
Mpira dk 90 uwanjani haya mengine ni kujitia ujinga tu wafungaji wa goli tatu nani sasa waache umbumbumbuu wapambane uwanjani mezani ya nn tena kama umefungwa umefungwa tu kubalini matokeo
 
Nyambaff, sorry!
 
Kwani kama kamati ya saa 72 ilipindisha kwa nini malinzi na yanga yake wamekwepa jana kutoa hukumu ya kesi kuna nini mpaka washindwe kufikia maamuzi?
 
Akili zetu watanzania hazijapimwa.......ila tujipime wenyewe tukijilinganisha na wenzetu! Ni upumbavu mkubwa kwa waamuzi wote na wadau wote wa soka waliokuwepo siku ya mechi kutokujua idadi ya kadi zilizotoka.......
 
ujue mashabiki wa simba wanapenda kulalamika bule wakat mechi inachezwa kwann wasilalamike apo simba wametoa rushwa wakapewa point za bure sasa uhakika umepatikana watu wanataka point zao ata hao wachezaji wa Africa lion wamesema jamaa akupewa kadi sasa mechi gani alipewa kama sio mbeleko
Ww nawe kama uhakika umepatikana kwa nini wasitoe maamuzi jana
 
Ivi kumbe hizo sheria zimetungwa Kwa baadhi ya timu na siyo simba Leo ndio nimejua kipindi simba au azam wanapokwa point hakuna yeyote aliyesema
 
Viongozi Na wanachama wa Simba kuweni makini Na sakata la Pointi 3 zinazopiganiwa Na klabu ya Kagera.Kwa taarifa yenu Yanga iko nyuma ya klabu ya Kagera wakishirikiana Na uongozi wa Juu wa TFF wakiongozwa Na Rais wake Na Katibu MKUU.Ushaidi umekuwa wa kutafutatafuta wakati maamuzi yalikwisha tolewa Na Kamati husika.
Simba Wasipochukua Ubingwa Wana Hali Mbaya Sana kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wao. Point 3 Za Kagera Ni Muhimu Sana Kwao. Wanasimba chochea moto point tatu za kagera zinogeshe ubingwa, Hata hii yanga majeruhi inawashinda?
 
Ivi kumbe hizo sheria zimetungwa Kwa baadhi ya timu na siyo simba Leo ndio nimejua kipindi simba au azam wanapokwa point hakuna yeyote aliyesema
Mkuu imekuwa nongwa sana Simba kupewa alama 3 ambao ni katika sheria za soka

Ajabu ni kuona kuna watu wacheua povu tu ilhali si mara ya kwanza kutokea timu kupokwa point..!
 
Na simba hiyo hiyo imewahi kupokwa point 3, sijui hawa ndala bado wamepoteana kama alivyosema spika??!!
 
Ripoti ya refa ndio final and conclusive muhimu kuizingatia ili haki itendeke
Refa alituma ripoti ya mchezo husika kupitia email ya rafiki yake (stupid)kamati ikamtaka awape password huyo rafiki yake akatuma fake password wakashindwa kufungua ...wakamuuliza referee kila mara unatumia email gani akakosa jibu....Referee wa akiba yule dada aliyechezesha AFCON ya kina dada alikuwa referee wa akiba akadai Fakhi alikuwa ametoka uwanjani baada kuumia huku ripoti ya referee ikionyesha kadi ya njano katika dakika ambazo Fakhi alishatoka uwanjani...Simba wafukuzeni viongozi wenu ni wahuni wa mjini.....
..
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Back
Top Bottom