Simba Sports Club safari bado tunayo haijaisha, tuzidi kupambana kwa maslahi ya Klabu na Nchi

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Simba SC safari bado tunayo tuzidi kupambana kwa maslahi ya klabu yetu na Nchi, Viongozi, Wachezaji, Wanachama Mashabiki na Wadau wa soka, kwa matokeo ya kufungwa na AS Vita Club ni sehemu ya mchezo wa mpira ambao wakati fulani unapata matokeo ya kutamausha, hongera wachezaji mmecheza kiasi cha uwezo wenu licha ya kupoteza mchezo huo lakini kufungwa kwa idadi hiyo si jambo jipya kwani wachezaji wetu tunawahi kushangilia kwa kumpa MTU 5-0 muhimu ni kujipanga upya.

Kubwa zaidi ni kujipanga kushughulikia na kurekebisha mapungufu yaliyojitokeza katika kikosi na hasa sehemu ya ulinzi, hii sehemu ina changamoto ambayo lazima ifanyiwe kazi haraka inavyowezekana.

Natoa ushauri kwa benchi la ufundi likiongozwa kocha Patrick Aussems kwa mambo mawili;

1. Ni wazi tunatatizo la beki ambapo linahitaji kufanyiwa kazi ili kuondoa makosa ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara ambapo pamoja kupata ushindi dhidi ya Nkana FC, lakini kocha wa Nkana alituambia na kutunasihi kushughulikia suala la nafasi ya ulinzi katika kikosi chetu cha Simba SC.

2.Ni wakati sasa kwa Kocha Patrick Aussems kubadili namna ya Ku-approach away games kwa kuangalia kwa mtazamo mwingine, asilimia 99% games za away makocha wengi wanaangalia sana kutafuta sare kama ni mchezo wa kwanza, ambapo Simba SC tumecheza mpira wetu wa kawaida kama tupo kwa Mchina Taifa.

Matokeo dhidi ya AS Vita Club yatufundishe kwani bado tuna michezo mingine ya away. Tujiandae vizuri. Kwa niaba ya Ghazwat ma salamu.
IMG_20190120_072511_665.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kashfa na matusi...Lete utani wa kisoka kama mtani wa jadi..Vinginevyo nitakuwashia moto sasa hivi.
Ila mmetia aibu sana , goli 6 -0 , ndiyo sita lile alilokataa muamuzi msaidizi ni rehema zake lkn halikuwa na kasoro..basi tufanye 5 bila. Hahaaaaa ktk michuano hii simba ndiyo timu pekee ilivunja record ya kukata mauno mbele ya mwanaume. Marinda yooote kwishey mamaae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kashfa na matusi...Lete utani wa kisoka kama mtani wa jadi..Vinginevyo nitakuwashia moto sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha! Kamuulize Manula alijisikiaje wakati inaingia Mara ya kwanza, ya pili , ya tatu, ya nne, ya tano na ya sita bahati yasita kibubu kikawa hakina Mbegu, ilikuwa ni mwendo wa kukata mauno tu. Hahahahaaaa! Et this is simba bhna! In Manara's voice
 
Tunawasubiri airpot na viboko, wakishuka tu kala mmoja anachapwa viboko vitano vitano.
Haiwezekani mmseme mnaiwakilisha nchi halafu muishie kuitia nchi aibu, shenzi kabisa nyie
 
Hivi ulipofungwa 6-0 ulisubiriwa Airport ili upige hivyo viboko..?Au hujui kuwa umewahi kugaragazwa sita[emoji196][emoji3]
Tunawasubiri airpot na viboko, wakishuka tu kala mmoja anachapwa viboko vitano vitano.
Haiwezekani mmseme mnaiwakilisha nchi halafu muishie kuitia nchi aibu, shenzi kabisa nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunawasubiri airpot na viboko, wakishuka tu kala mmoja anachapwa viboko vitano vitano.
Haiwezekani mmseme mnaiwakilisha nchi halafu muishie kuitia nchi aibu, shenzi kabisa nyie
Vita wametunyanyasa sio kutufunga.... Kawachapeni Taifa stars Simba sio timu ya Taifa
Tunapambana na Hali yetu
 
Simba SC safari bado tunayo tuzidi kupambana kwa maslahi ya klabu yetu na Nchi, Viongozi, Wachezaji, Wanachama Mashabiki na Wadau wa soka, kwa matokeo ya kufungwa na AS Vita Club ni sehemu ya mchezo wa mpira ambao wakati fulani unapata matokeo ya kutamausha, hongera wachezaji mmecheza kiasi cha uwezo wenu licha ya kupoteza mchezo huo lakini kufungwa kwa idadi hiyo si jambo jipya kwani wachezaji wetu tunawahi kushangilia kwa kumpa MTU 5-0 muhimu ni kujipanga upya.

Kubwa zaidi ni kujipanga kushughulikia na kurekebisha mapungufu yaliyojitokeza katika kikosi na hasa sehemu ya ulinzi, hii sehemu ina changamoto ambayo lazima ifanyiwe kazi haraka inavyowezekana.

Natoa ushauri kwa benchi la ufundi likiongozwa kocha Patrick Aussems kwa mambo mawili;

1. Ni wazi tunatatizo la beki ambapo linahitaji kufanyiwa kazi ili kuondoa makosa ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara ambapo pamoja kupata ushindi dhidi ya Nkana FC, lakini kocha wa Nkana alituambia na kutunasihi kushughulikia suala la nafasi ya ulinzi katika kikosi chetu cha Simba SC.

2.Ni wakati sasa kwa Kocha Patrick Aussems kubadili namna ya Ku aproach away games kwa kuangalia kwa mtazamo mwingine, asilimia 99% games za away makocha wengi wanaangalia sana kutafuta sare kama ni mchezo wa kwanza, ambapo Simba SC tumecheza mpira wetu wa kawaida kama tupo kwa Mchina Taifa.

Matokeo dhidi ya AS Vita Club yatufundishe kwani bado tuna michezo mingine ya away. Tujiandae vizuri. Kwa niaba ya Ghazwat ma salamu.View attachment 999809

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongelea maslahi ya mikia ,neno nchi ondoa.Manatandikwa peke yenu hakuna cha nchi wala nini.Mtapata taabu taabu sana.Jana ndo kikosi kimepanuliwa vizuri.The widening gap ndo hiyooo

Humtuambii kitu Vyura [emoji196][emoji196] kwanza wewe ni katika wale wahamiaji haramu.

Simba Taifa Kubwa..Unajua maana yake kuitwa hivyo tangu enzi hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita wametunyanyasa sio kutufunga.... Kawachapeni Taifa stars Simba sio timu ya Taifa
Tunapambana na Hali yetu
huyo aliyeandika kwa maslahi ya klabu na nchi ana maana gani kama sio kuliwakilisha taifa
 
Back
Top Bottom