vipi hao wachezaji wanne kuanza kwa pamoja haiwezi kutuletea athari? maana wapinzani wanaweza wakadai tumechezesha wageni wengi na kuna kipindi ilikuwa wageni watatu wanaanza na kumaliza watano

nifafanulieni hili

Mchezaji yeyote aliyesajiliwa & kupitishwa na TFF anaweza kuanza. Kwa maana hiyo wageni wote watano wanaweza kutumiwa
 
Kwenye msafara wa Simba uku wakisindikizwa na mashabiki wao uku mashabiki wakiimba Cmba, Chadema uku wakiwa wamebeba bendera ya chadema
 
watangazaji wa rtd oh sorry tbc taifa wamedai sunzu hajafanya lolote mpaka sasa, hebu tupe ukweli halisi
Mpira wa sunzu ni mkubwa labda kwa kuwa hajafunga ndiyo maana lakini mchano wake kwenye timu ni mkubwa sana amesumbua sana beki ya JKT Oljoro yaani mpaka mwishoni wamekasilika wakaanza kucheza rafu na kuwapiga vidole kwenye masaburi hali ambayo imepelekea Sunzu kupewa kadi nyekundu baada kumpiga kofi mchezaji wa Oljro....

Sunzu anajua kutumia urefu wake kitu ambacho simba wanamtumia kuokoa kona wanapokuwa wanashambuliwa, anajua kukaa kwenye nafsi, pasi zake hazi potei hovyo yaani kama simba itamtumia ipasavyo basi ligi kuu timu pinzani watapata shida sana...
 
Timu ya Oljoro JKT ni nzuri lakini kama wataendelea kucheza mpira wa kihuni namna hii basi hata sisi mashabiki wao watu sahau....
 
Nakubaliana na wewe Sunzu anajua kuutumia urefu wake na ataisaidia simba kwa mechi zote atakazopagwa na kocha
 
jamani leo tupo mkwakwani twacheza na coastal union

so far tunaongoza bao moja bila, update zitafuata
 
morogoro, wapinzani wanacheza na moro united so far huko ni bilabila
 
morogoro, wapinzani wamebahatisha moja mfungaji ni haruna niyonzima
 
tanga matokeo full time coastall union 0 simba sc 1
mfungaji patrick mafisango baada ya pasi za amir maftah na ulimboka mwakingwe

tuna pointi 6 yeboyebo 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…