Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,651
vipi hao wachezaji wanne kuanza kwa pamoja haiwezi kutuletea athari? maana wapinzani wanaweza wakadai tumechezesha wageni wengi na kuna kipindi ilikuwa wageni watatu wanaanza na kumaliza watano
nifafanulieni hili
Mchezaji yeyote aliyesajiliwa & kupitishwa na TFF anaweza kuanza. Kwa maana hiyo wageni wote watano wanaweza kutumiwa