Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
tanga matokeo full time coastall union 0 simba sc 1

mfungaji patrick mafisango baada ya pasi za amir maftah na ulimboka mwakingwe

tuna pointi 6 yeboyebo 1

Poa kaka kwa kutujuza mwendo mzuri inaweza tokea kama ile ya phiri tunacheza mechi zote bila kufungwa

VPL matokeo kwa leo vp, Mnayama anaendeleza dozi???. please let me know the status.

Leo simba 1 villa squad 0, mfungaji gervas kago, tumepanda kileleni,

Morogoro mpaka dakika za lala salama milango ni migumu, tuendelee kuwatakia kila lisilo la heri wapinzani

FYI, Simba ndo timu pekee ambayo haijafungwa goli mpaka sasa kwenye VPL msimu huu

mpira ful tyme,simba kama kawaida yetu 2mepga moja bila,yebo kawaida yao mnaijua wakuu,ni yaleyale tu,hawana jipya

wamejitahidi today. Yanga 1-1 Shooting. vibonde wawili wametoa droo

Leo ni Mnyama na Azam FC simba itawakosa wachezaji wake mahili Sunzu na Okwi...

Back
Top Bottom