PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 444
<br />tumepoteza pointi 2 lakini ni afadhali maana tulikuwa tumezidia mechi ijayo sunzu na okwi pengine na mwinyi kazimoto ndani..
<br />
Inatosha kaka, pointi moja si haba: ila next vijana inabidi wawe makini.