Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Sunzu ameumia hapa! Anatolewa kwa machela kukimbizwa Bugando
 
simba sasa inamajeruhi wa nne..mwinyi kazimoto,salum machaku, Felex Sunzu, na Amir Mafta
 
Duh>> Hili gemu nimelishuhudia. Huyu mtoto Kapombe anatisha sana! Okwi naye amedhihirisha kuwa ni professional wa ukweli. Hongera myama. Ni mwendo mdundo hadi ubingwa.
 
Back
Top Bottom