mwacheni77
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 763
- 209
Wa kagera tunaomba matokeo ya mwisho ya samba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi mkuu endelea kutuletea updatesNipo Kirumba hapa..
Naona vijana wa Simba na Toto wanapasha!
Asante mkuu endelea kutuletea kinachojiri uwanjanidk ya 8 felix sunzu anaunganisha krosi ya jj juma jabu!
simba 1 toto 0
Lo hawa watoto wa Yanga kwanini huwa wanatukomalia hivi?Simba wapigane warudishe na kuwachapa mabao mengi inavyowezekana hao watotoSimba wamepigwa golo la pili!
Toto wanaongoza..2-1
Toto wako composed na wanacheza vizuri sana
Tatizo Simba wanacheza kisharobaro sana!Lo hawa watoto wa Yanga kwanini huwa wanatukomalia hivi?Simba wapigane warudishe na kuwachapa mabao mengi inavyowezekana hao watoto
vipi mkuu unauza tigo??? maana kama ni yanga mna jukwaa lenu kuleToto wamekosa goli la wazi..Simba ilikuwa wapigwe goli la tatu.
Half time now
Tatizo Simba wanacheza kisharobaro sana!