Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Nipo Kirumba hapa..
Naona vijana wa Simba na Toto wanapasha!
 
Naona Yanga kashapigwa moja..
Huku mpira ndio unaanza
 
Simba wanapata bao la kuongoza!
Ilikuwa bonge ya krosi ikaunganishwa kwa kichwa
 
Kaka jitahidi kutupa matokeo nin kinachojili mana hk ngeleja kasha fanya mambo yake tunakutegemea mkuu
 
Simba wamepigwa golo la pili!
Toto wanaongoza..2-1
Toto wako composed na wanacheza vizuri sana
 
Kuna tukio limetokea hapa..mbwa wa polisi kaingia uwanjani! Mpira umesimama dk kadhaa
 
Simba wamepigwa golo la pili!
Toto wanaongoza..2-1
Toto wako composed na wanacheza vizuri sana
Lo hawa watoto wa Yanga kwanini huwa wanatukomalia hivi?Simba wapigane warudishe na kuwachapa mabao mengi inavyowezekana hao watoto
 
Toto wamekosa goli la wazi..Simba ilikuwa wapigwe goli la tatu.
Half time now
 
Lo hawa watoto wa Yanga kwanini huwa wanatukomalia hivi?Simba wapigane warudishe na kuwachapa mabao mengi inavyowezekana hao watoto
Tatizo Simba wanacheza kisharobaro sana!
 
Toto wamekosa goli la wazi..Simba ilikuwa wapigwe goli la tatu.
Half time now
vipi mkuu unauza tigo??? maana kama ni yanga mna jukwaa lenu kule

hatununui malaya wanaouza makalio mkuu

to be honest, we dont buy gays like rejao........................................... can you just go and wipe your asshole?
 
Back
Top Bottom