Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
tumepoteza pointi 2 lakini ni afadhali maana tulikuwa tumezidia mechi ijayo sunzu na okwi pengine na mwinyi kazimoto ndani..
<br />
<br />
Inatosha kaka, pointi moja si haba: ila next vijana inabidi wawe makini.
 
Thread #2041 ina suggest kwamba ni draw (ya 0-0?).
 
Leo mnyaMa katoa droo..point 10 kama sikosei?..crashwise
 
tumepoteza pointi 2 lakini ni afadhali maana tulikuwa tumezidia mechi ijayo sunzu na okwi pengine na mwinyi kazimoto ndani..

Kama tulikuwa tumezidiwa basi nadhani tumepata point 1 maana uwezekana wa kupoteza zote tatu ulikuwa mkubwa zaidi.
 
Vijana inabidii waongeze nguvu ya ufungaji magoli huku wanazuia
 
Crashwise let vitu uko, mechi imeisha au bado, nasubiria pointi 3 kwa hamu, ninaziitaji sana leo.
 
simba 1 na plisi 0..wachezaji wa simba bado tatizo lao ni pumzi..
<br />
<br />
wanafanya mazoezi magumu sana wanapokuwa wanajiandaa kwa ajiri ya mechi, hivyo wanaingia uwanjani wakiwa tayari wamechoka: ila si mbaya cha msingi beki isiruhusu nyavu kutikiswa.
 
Back
Top Bottom