NG'OTIMBEBEDZU
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 1,180
- 595
Mkuu, nenda tu uwanjani kuangalia mechi hao viongozi hawatakuwa serious kama wanachama hawako serious, labda useme unahama timu au unaacha kushabikia, kama huachi wala huhami twende tukaangalie mechi.Mkuu uwanja kabisa?!, Ngoja tusubiri maana hata tunaoshabikia simba hatuoni la maana, nina mpango wa kuacha kwenda uwanjani kwenye mechi za simba na yanga mpaka pale viongozi watakapokuwa serious.
Kiongozi kaingia madarakani kwa gia ya kupaka rangi jengo na wanachama wakampa ushindi wa kishindo, unategemea uchaguzi ujao ataahidi nini asishinde? Si atasema wachezaji wamechoka kupanda coaster hivyo nitanunua yutong tunamchagua tena kwa kishindo halafu anatuletea eicher!!!