Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Red card kwa Chrispin Lukindo wa Villa Squad....

Simba mshindwe nyinyi sasa.....
 
Mshindwe wenyewe sasa....Mchezaji mwingine wa Villa kalamba Red card....
 
Simba wakilala kwa timu ya watu 8 uwanjani itakuwa aibu kubwa!
Dalili hazionekani za kusawazisha goli licha ya kushinda mechi. Sijui wameshikwa na nini leo!
 
Mnaweza kusawazisha na kushinda maana Villa wapo pungufu,mchezaji wao mmoja kalambwa Red card....

I don't think; to be less in number it doesn't matter ''Bala'' last match against Orjolo, Simba was less but came up wiz big victory.
 
Nini tena Okwi.................

Anakosa goli la wazi kabisa hapa
 
Mlioko uwanjani nini kinashindikana kuondoka na ushindi
 
Balaa lilianza pale Okwi alipokosa penalti. Sasa wapinzani wapo 8 inashindikana kurudisha goli.....
 
Dakika ya 89

Villa Squad 1-0 Simba

Villa wanashambulia sasa na wanazuia pia
 
Mpira umekwisha........

Hongereni sana watani kwa ushindi mnono........
 
Back
Top Bottom