Mkuu uwanja kabisa?!, Ngoja tusubiri maana hata tunaoshabikia simba hatuoni la maana, nina mpango wa kuacha kwenda uwanjani kwenye mechi za simba na yanga mpaka pale viongozi watakapokuwa serious.
Mkuu, nenda tu uwanjani kuangalia mechi hao viongozi hawatakuwa serious kama wanachama hawako serious, labda useme unahama timu au unaacha kushabikia, kama huachi wala huhami twende tukaangalie mechi.
Kiongozi kaingia madarakani kwa gia ya kupaka rangi jengo na wanachama wakampa ushindi wa kishindo, unategemea uchaguzi ujao ataahidi nini asishinde? Si atasema wachezaji wamechoka kupanda coaster hivyo nitanunua yutong tunamchagua tena kwa kishindo halafu anatuletea eicher!!!
 
Simba imepata magoli mawili kupitia kwa Emmanuel Okwi kipindi cha pili lakini simba ilimpoteza mchezaji wao mhimu Boban
 
Full Time: Simba 2-0 JKT Oljoro, magoli yote yamefungwa na Emmanuel Okwi.
 
Big up simba .moto huo huo hadi mwisho wa ligi
 
leo mnyama-Simba yuko uwanjani zidi ya Villa Squad, ataendeleza wimbi la ushindi?
 
Villa Squad 1-0 Simba

Goli limefungwa na Nsa Job Mahenya dakika ya 39
 
Emmanuel Okwi amekosa penati dakika ya 19,kipa David Mwasongwe wa Villa ameipangua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…