Simba 2 Azam 0, dakika ya 28 kipindi cha pili. Okwi kaweka katika kamba yote mawili.
Simba still leadind to 2goals to NILAny updates please??
Zamalek wamemwaga jezi zao kwa mashabiki (sielewi wa timu gani). Wachezaji wa Simba wanaumizwa sana
Inasikitisha sana,walifikili Simba ni mudebwedo: tuombe Mungu wasiwaumize sana tuna mechi muhimu sana na Kiyovu.Jamaa walikamia sana leo matokeo yake wamepigwa na kuamua kucheza rafu!
Inasikitisha sana,walifikili Simba ni mudebwedo: tuombe Mungu wasiwaumize sana tuna mechi muhimu sana na Kiyovu.
Dk ngapi mpira kuisha????Simba wamewekeza kwenye chipukizi na wanaelekea kuwa tishio hasa!
Mpira umekwisha.
Simba 2 Azam 0
Safi sana: tumewakata kilimilimi, wapi Balatanda!!!!!!!
hongera ndio mpira kuna matokeo aina tatu kwa hiyo tunaendelea kujipanga kwa gemu zijazo..