Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
- Thread starter
-
- #2,341
!Simba inapiga soka ya hatari kuliko hata Taifa Stars?
!Simba inapiga soka ya hatari kuliko hata Taifa Stars?
hawa ndugu zetu yebo yebo watakubali? si unajua ****** na first boy ni timu gani kakaKwanini tusiifanye timu ya Taifa tuu.
uzalendo kakaEhhh!!! Naona umekunywa maji ya bendera ya Simba.
Kweli mkuuhawa ndugu zetu yebo yebo watakubali? si unajua ****** na first boy ni timu gani kaka
vipi walionunua jezi za kiyovu haijakula kwao?
Benitez ready to take the job?Breaking news .. AVB sacked !!!!!!!!!!
Benitez ready to take the job?
benitez atawapeleka wapi sasa?
Kwanini tusiifanye timu ya Taifa tuu.
Kila la heri watani......
Simba piga hao Kiyovu goli 5-0.........
Go Simba go............
Tupo pamoja leo......Utaifa kwanza....