PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 444
Usijari mzee updates utapata tu wanaMsimbazi tuko makini ktk hilo.vipi jamani hamna watu uwanjani leo au mechi bado haijaanza. tupeni updates pls clashwise nakusubili kwa ham mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijari mzee updates utapata tu wanaMsimbazi tuko makini ktk hilo.vipi jamani hamna watu uwanjani leo au mechi bado haijaanza. tupeni updates pls clashwise nakusubili kwa ham mkuu
Nipe matokeo mapaka sasa niaje mnyama anaongoza kwa magoli mangapi.
Mnyama kafungwa moja mpaka dakika hii.
fpSimba 1- 0 P.Dodoma mpira unaendelea.
simba vs mtibwa at jamhuli stadium in morogoro.
3-points to simba sc is very much important to day.
Kweli mnyama anatisha ukanda huu wa CECAFA.
Mnyama anaongoza, dak 17, Patrick Mutesa Mafisango anaipatia Simba goli la kwanza baada ya kumalizia kazi safi ilyofanywa na Emmanuel Okwi akisaidiana na Haruna Moshi Shaban.