Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Ni lazima mshinde leo mkuu maana Azam anaongoza goli moja mpaka sasa....

Na mtakuwa game moja zaidi ya Yanga....

Naona Mtibwa wanawashambulia sasa....

Halafu nimegundua kitu kimoja.....Bado hamna wapiga penati wazuri.......
Mafisango kwa sasa ndo mpiga Penati mzuri kwa Simba, basi leo tu mambo yamemwendea vibaya, wapiga penati wengine wazuri ni Mwinyi Kazimoto, Kaseja, Victor Costa.
 
Mafisango kwa sasa ndo mpiga Penati mzuri kwa Simba, basi leo tu mambo yamemwendea vibaya, wapiga penati wengine wazuri ni Mwinyi Kazimoto, Kaseja, Victor Costa.
....hata Shomari Kapombe naye ni mzuri ktk penati.
 
Bala....thanx for y're time to time updates, but....how do you see the pace of the match in the pitch!!!!!
50-50

Timu zote zinashambuliana na Thank God kwa makipa wote wawili Juma Kaseja na Deo Munishi 'Dida'
 
Naoiombea timu yangu pendwa wekundu wa msimbazi leo ipate ushindi mnono,mlioko uwanjan mtujuze kinachoendelea!
 
Back
Top Bottom