Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Mnyama kafungwa moja mpaka dakika hii.

Wahuni wamevamia JF! Mpira umeisha matokeo ni 0-0 Kelvin Yondani kalimwa red card lakini Simba wamekuwa waungwana hawakuvurumusha ngumi kama Kanda2
 
Simba vs Mtibwa at Jamhuli Stadium in Morogoro.
3-points to Simba SC is very much important to day.
 
Mnyama anaongoza, dak 17, Patrick Mutesa Mafisango anaipatia Simba goli la kwanza baada ya kumalizia kazi safi ilyofanywa na Emmanuel Okwi akisaidiana na Haruna Moshi Shaban.
 
Mnyama anaongoza, dak 17, Patrick Mutesa Mafisango anaipatia Simba goli la kwanza baada ya kumalizia kazi safi ilyofanywa na Emmanuel Okwi akisaidiana na Haruna Moshi Shaban.

Progress?
 
Back
Top Bottom