Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
DSC_3722.jpg
hawa ndugu zetu yebo yebo watakubali? si unajua ****** na first boy ni timu gani kaka
Kweli mkuu
kutoka Michuzi
 
Okwi ni hatari sana.....angekuwa Mtanzania huyu awe timu ya Taifa angetusaidia sana,plus Mbwana Samata
 
Back
Top Bottom