Mkuu rangi ya chungwa bei kubwa, mie nimelipia vya hela ndogo, Simba naona hatuna bahati ila hawa jamaa walikuwa wetu kabisa.Naona viti viko wazi vya ''rangi ya chungwa'' kama vipi hama ili ui-enjoy kabumbu kiongozi.
Twasigazayo Ibili zonka.Simba 1 Setif bila 0
matokeo ya mwisho pls