hapana hujakosea: kipute kinaendelea Uwanja wa Taifa na Mnyama tayari anaogoza kwa goli 1 mfunganji ni Mafisango; na sasa hivi ni dk ya 22 kipindi cha kwanza
Ahsante Mkuu, vipi Azam manake leo tunaweza kutangaza ubingwa. safari leo itapanda kweli
 
Simba Sp:A S 41:rt Club inatisha .Safi sana wanamsimbazi.wembe uleule kila mechi zinazowakabili
 
Mimi natamani kusherehekea, lakini kule Chamazi mpira haujaisha kwa usalama, na huenda jamaa Azam wakapewa point zote. Nasubiri habari kamili
 
Simba Bingwa...............

simba hajawa bingwa maana mechi ya azam ni Mtibwa waliogomea penati na hivuo kikanuni azam ana point tatu voyovyote iwavyo, so simba anatakiwa kwanza atoe sare walau mechi ijayo kujitangazia ubingwa, anything can happen, subirini kwanza msishangilie leo
 

Dah balaa gani tena hili....!
 
azam wamezidi kuhonga kila mechi yao ni kizaazaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…