Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,915
- 5,038
Ahsante Mkuu, vipi Azam manake leo tunaweza kutangaza ubingwa. safari leo itapanda kwelihapana hujakosea: kipute kinaendelea Uwanja wa Taifa na Mnyama tayari anaogoza kwa goli 1 mfunganji ni Mafisango; na sasa hivi ni dk ya 22 kipindi cha kwanza