Mungu amejalia goli la 3 limepatikana na Ushindi mnono. Kwapamoja tunamshukuru Mungu, kila la heri SIMBASimba 2 Mungu ibariki simba ipate goal la 3
Simba3 (Okwi):0 Ahli Shandy
tushapiga waarabu
Simba timu piga hao wasudan 3 - 0
Mungu amejalia goli la 3 limepatikana na Ushindi mnono. Kwapamoja tunamshukuru Mungu, kila la heri SIMBA
kuna jamaa aliedit hii picha akanitumi kabla ya gemu sasa hivi simuoniKwa leo huna maana hiyo,najua hata kimoyomoyo matokeo yamekufurahisha sana. Simba inapeperusha vema flag