Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kama huipendi Simba lazima utajilaumu,mambo yote mazuri ni Lion never sleep! Raha kabisa nadhani kwa matokeo haya hata ugali bila mboga unaumaliza wote! Hureeee.
 
543230_369957486390522_100001288210100_1120245_1867308440_n.jpg

Kwa leo huna maana hiyo,najua hata kimoyomoyo matokeo yamekufurahisha sana. Simba inapeperusha vema flag
 
Kuna mwenye picha jamani, maana hata yule mwana yanga hajaweka bado.
 
Simba Bingwa 2012 kabla ligi haijaisha. Kama Real Madrid walah. Jumapili tunakijaribu kikosi chetu cha pili kucheza na wakuda wa jangwani. Kikosi cha kwanza kitakuwa kinafanya mazoezi ya ligi za Wanaume Wenzentu.
 
Back
Top Bottom