Wazee wa boxing walipeleka timu B wanafikiri mashindano ya watoto walipigwa tatu.Mkuu Bemg umenifurafisha kwa taarifa, vp wazee wa Mingumi FC hawakucheza? Tupe matokeo mkuu.
Wazee wa boxing walipeleka timu B wanafikiri mashindano ya watoto walipigwa tatu.
Kumbe ndo maana ZFA wamewatimua, maana ingekuwa aina ya kina Abdallah Seseme, Ramadhan Singano na Christopher Edward hata wasingerudishwa.hawana timu B wale, sema waliokoteza wachezaji toka timu za mchangani, wakatumia nembo yao kushiriki michuano, timu B ipo kwa wekundu waulize express ndo wanaijua Simba B.
Game limeshaisha na mnyama kama kawaida kashinda hivyo jtano atacheza fainali na wanalambalamba, kikosi kilichoanza leo ni Juma Kaseja, Shomari Kapombe, Amir Maftah, Lino Msombo, Obadiah Mungusa, Musa Mude, Amri Kiemba, Mwinyi Kazimoto, Abdalah Juma, Patrick Kanu Mbiyavanga na Salim Kinje....leo vp hapo zenji, game litakuwa limeanza ?
Game limeshaisha na mnyama kama kawaida kashinda hivyo jtano atacheza fainali na wanalambalamba, kikosi kilichoanza leo ni Juma Kaseja, Shomari Kapombe, Amir Maftah, Lino Msombo, Obadiah Mungusa, Musa Mude, Amri Kiemba, Mwinyi Kazimoto, Abdalah Juma, Patrick Kanu Mbiyavanga na Salim Kinje.
Mkuu Mafuluto ndo nalogin, walishinda kwa goli moja mfungaji Patrick Mbiyavanga.mkuu ngapi, wafungaji ?
Simba tuchukue kombe hili tuongeze makombe mengine tuachane na waliokimbia mziki wa msimbazi.