Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Safi sana mkuu kwa picha.Tunaikitakia simba kila la kheri
 
Ukitaka raha ya soka ukuje Simba SC, ukitaka kuona migumi nenda Jangwani.
 
[FONT=Arial, Tahoma, Helvetica, FreeSans, sans-serif]Urafiki cup[/FONT]
Wakati Azam FC jana wakitoka sare mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wao waliibuka na ushindi wa goli 2-1 walipo wakabili Mafunzo hapo jana.

Magoli yote ya Samba SC yalifungwa na mshambuliaji mpya wa timu hiyo toka Ruvu shooting Abdallah Juma akitumia vyeme pasi za mkongomani Patrick Kanu Mbivayanga katika dakika ya 27 na 44. Goli la Mafunzo lilipatikana kayika dakika ya 80, mfungaji akiwa Jaku Joma.
 
Mkuu Bemg umenifurafisha kwa taarifa, vp wazee wa Mingumi FC hawakucheza? Tupe matokeo mkuu.
 
Wazee wa boxing walipeleka timu B wanafikiri mashindano ya watoto walipigwa tatu.

hawana timu B wale, sema waliokoteza wachezaji toka timu za mchangani, wakatumia nembo yao kushiriki michuano, timu B ipo kwa wekundu waulize express ndo wanaijua Simba B.
 
hawana timu B wale, sema waliokoteza wachezaji toka timu za mchangani, wakatumia nembo yao kushiriki michuano, timu B ipo kwa wekundu waulize express ndo wanaijua Simba B.
Kumbe ndo maana ZFA wamewatimua, maana ingekuwa aina ya kina Abdallah Seseme, Ramadhan Singano na Christopher Edward hata wasingerudishwa.
 
Halafu inaonekana kama magazeti mengi TZ ni wanazi wa mangumi FC, wahariri wote wameuchuna wameona aibu kuanika uozo wao waliofanya.

Lakini walipoishinda timu ya majitaka ya Uganda wahariri wote midomo juu. Chezea Mnyama wewe, ukituletea timu feki tunakuletea timu B uselebuke nao.
 
...leo vp hapo zenji, game litakuwa limeanza ?
Game limeshaisha na mnyama kama kawaida kashinda hivyo jtano atacheza fainali na wanalambalamba, kikosi kilichoanza leo ni Juma Kaseja, Shomari Kapombe, Amir Maftah, Lino Msombo, Obadiah Mungusa, Musa Mude, Amri Kiemba, Mwinyi Kazimoto, Abdalah Juma, Patrick Kanu Mbiyavanga na Salim Kinje.
 
Game limeshaisha na mnyama kama kawaida kashinda hivyo jtano atacheza fainali na wanalambalamba, kikosi kilichoanza leo ni Juma Kaseja, Shomari Kapombe, Amir Maftah, Lino Msombo, Obadiah Mungusa, Musa Mude, Amri Kiemba, Mwinyi Kazimoto, Abdalah Juma, Patrick Kanu Mbiyavanga na Salim Kinje.

Hapo sawa; hiyo ndo Simba bwana.
 
Powa mkuu nimekupata. Inaelekea sasa tuna kikosi kizuri sana kwa matokeo haya na kwa mujibu wa media outlets nyingi (hata kocha wa express kafagilia sana) ! Sisi tupige boli na kutengeneza pesa through Okwi na wengine. Hii ndiyo namna ya kuendesha timu kisasa na bora kuachana na akina Yondani. Kwani akina Chuji, na yule Marasta si walikimbilia huko na wapo wapi sasa ? Kule wanakufagilia sasa tu lkn mambo yakienda mrama, game moja tu wanaanza kudai ww simba, ovyo na unakula matusi hadi unachubuka.

Sasa timu yenye pesa eti imeona Mustafa ndiyo kipa bora ? Huyu tunamjua vizuri ss weaknesses zake akipanga basi ni mkono mara mbili...!

hawa wengine, akina Asamoah na Mwape, unakumbuka zile kelele waliposajili, lakn haikupita muda umesikia wanataka kuwauza twiga stars.... ha ha haha ! Hata huyo kocha, subiri manji agome kutoa pesa za kununua mechi uone kama hatarudi kwao kwa baiskeli ya mbao....
 
quote_icon.png
By ndetichia

azam tumepata penati 1 kwa 4 na simba wamepata 3 kwa 4 viva la azam fc

ty.gif


quote_icon.png
By PrN-kazi

milioni 10 si haba: zita tu-boost kuelekea Kagame Cup.
 
Kila la heri Simba Sports club kwenye mechi ya leo .Tunaombea mtupe raha wanasimba na watanzania wote
 
Mabingwa wa kombe la ujirani simba sports club, leo imetota kwa mabao 2-0
mbele ya watoza ushuru wa uganda (ura). Ni kilio kingine kwa mashabiki wa
simba na yanga..siku zote mwenzio akinyolewa nawe tia maji.:a s 465:
 
Back
Top Bottom