Jamani nataka niione Simba live, huko mbona imekaa muda mrefu? ''Crashwise'' vp bwana tuletee hiyo timu DAR kwanza kabla ya ligi ili tutoe comments zetu kabla ya ligi haijaanza.
 
Net iko slow sana, nitajitahidi kuwaletea matukio muhimu.
 
Kikosi cha Simba: Kaseja, Kapombe, Maftah, Ocheng, Keita, Kazimoto, Kinje, Boban, Christopher, Akuffo na Ngasa; jukwaa letu la Simba limefurika na kwa wale mlioko na access na radio unaweza kutune Kiss FM kwa dar ni 89.0 MHz.
 
Sofapaka wanapata penati na kufunga goli, beki Keita alinawa eneo la hatari.
 
Asante sana. Endeleeni kutujuza hata kama mnasikia uchungu. Teh teh teh.....
 
Akuffo ameumia na kutolewa nje, Abdalla Juma anaingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…