Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Pamoja sana mkuu kesho nitakuwa sheikh Amri Abeid kuwaletea mechi ya kirafiki kati ya Simba na FC Leopard ya kenya....[/QUOTE

Sidhani kama AFC Leopard watakuwa wamekuja tz kwa sababu walipewa taarifa za kukosekana viwanja vya kuchezea mechi ya simba na pia mechi yao na yanga siku ya jumanne haitakuwepo
 
Pamoja sana mkuu kesho nitakuwa sheikh Amri Abeid kuwaletea mechi ya kirafiki kati ya Simba na FC Leopard ya kenya....
hizo Updates kutoka Arusha ni muhimu sana kuzipata Mkuu; nakutakia Afya njema.
 
Hongereni sana Simba B. Kwa hakika hakuna haja kabisa ya Simba kutafuta wachezaji nje ya nchi, kwani tuna hazina kubwa sana ya vijana.Mnyama Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hawa madogo wakicheza na kaka zao nahisi watawachapa bila huruma
Sio siri mimi nina imani sana na hawa madogo kuliko wale wakubwa
 
Mavuvuzela ya Jangwani hakuna hata moja limeweza kupost utadhani hapakuwa na mechi ya fainali leo, roho inawauma, wakiangalia timu ya wakubwa imekamilika, timu ya madogo kama ya wakubwa, timu ya wanawake balaa, timu ya wabunge nayo ni nzuri mno, maveterani wa Simba ni noma, hata timu yetu washabiki nayo inatisha mno; Kweli kuna siku kila mtu atashabikia Simba.
 
[h=3]SIMBA MTOTO AMCHAPA MTIBWA NA KUTWAA UBINGWA WA SUPER8[/h]

Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia na kombe lao baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwa mabao 4-3 katika mchezo wa fainali ya michuano ya SUP8R uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mh. Dk Fenella Mkangala akiwapa medali wachezaji wa Simba.

Wachezaji wa Simba wakimbeba kocha wao Suleiman Matola baada ya mchezo

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akiwapungia mkono mashabiki wa Simba.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mh. Dk Fenella Mkangala akimkabidhi kombe nahodha wa Simba, Edward Christopher

Furaha ya ushindi.

Hisani ya Sports in Bongo
 
Mavuvuzela ya Jangwani hakuna hata moja limeweza kupost utadhani hapakuwa na mechi ya fainali leo, roho inawauma, wakiangalia timu ya wakubwa imekamilika, timu ya madogo kama ya wakubwa, timu ya wanawake balaa, timu ya wabunge nayo ni nzuri mno, maveterani wa Simba ni noma, hata timu yetu washabiki nayo inatisha mno; Kweli kuna siku kila mtu atashabikia Simba.
Yanga wanachojua ni fitina na kurubuni wachezaji wa Simba ili wawahamishie kwao, lakini mbinu za kuibua vipaji vipya hawana; wapo tu kiroho kinawadunda kila siku kuiombea mabaya Simba wakisahau kwamba ''Mtenda jamala kuwa naye ulipwa jamala''
 
Sasa ngoja tusubiri maandamano ya kufunga mitaa ya jiji kusheherekea ubingwa!maana ndio zenu simba kakombe kadogo huwa mnafunga mitaa ya jiji,wenzenu yanga mmeona wamechukua ndoo ya kimataifa juzi lakini hakuna mtaa uliofungwa maisha yanaendelea labda wachukue ndoo ya africa ndio wanaweza kufikiria kufunga mitaa sio vikombe vya mbuzi
 
Simba taifa kubwa haijalishi nikombe gani imechukua na yanga atabaki yeboyebo tu na hawezi kufurukuta kwenye mashindano ya CAF.Tunawaombea Azam mwaka huu ikazane ikalie nafasi ya pili , no 1 Simba halafu tuone na ndoo yenu itawafikisha wapi
 
huyu wanamuita professional player jina utatoa mwenyewe..

552079_415790721812841_2089996502_n.jpg
 
leo simba amecheza na mathale united, simba 2 na Mathale united 1...magoli ya simba mghana daniel kuffo alieonyesha kiwango cha juu sana, goli la pili limefungwa na kigi makasi kwa penati baada ya uhuru seleman kuagushwa ndani ya 18..furaha kubwa kwa wana msimba ni beki kutoka mali Keitta na pascoal kutoka kenya kucheza kwa ustadi wa hali ya juu sana hasa huyu keitta ni jembe hasa..huyu pascoal ni mzito lakini ni beki mzuri..goli la wakenya lilikuwa niakuifunga kwa beki wa simba juma nyoso alie ingia badal
 
juma nyoso aliingia baada ya beki wa kimataifa keitta kuumia na kutolewa..kwa timu tulionayo wana simba hakuna haja ya kuogopa kelele za watani maana timu imekamilika leo tuliwakosa mawika hatari aka mapacha okwi na Ngasa..
 
asante kwa taarifa .simba nguvu moja daima
 
juma nyoso aliingia baada ya beki wa kimataifa keitta kuumia na kutolewa..kwa timu tulionayo wana simba hakuna haja ya kuogopa kelele za watani maana timu imekamilika leo tuliwakosa mawika hatari aka mapacha okwi na Ngasa..
Mkuu Crashwise heshima mbele! Hebu nipe mwongozo kidogo, hivi huyo Keita anakuwa ni mtu wa sita kwa wachezaji wa nje na kanuni zinasema wachezaji watano kwa timu ndo wanaotakasajiliwa kutoka nje sasa hadi sasa sisi tumesajili watano, Sunzu, Okwi, Mudde, Daniel na Ocheng sasa huyo Keita itakuwaje?
 
Ni kweli Keitta ni wa sita lakini kutoka na simba kuhitaji beki zaidi wameamua kumuacha Mussa Mude ila atalipwa mshahara kama wachezaji wengine, hii imetokana yeye kuwa majeruhipia majeruhi yatakayo muweka benchi kwa muda wa miezi4 ndiyo awe fit...
 
Asante mkuu.
 
Back
Top Bottom