Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
kijana Christopher ni hazina ya msimbazi na kwa taifa siku za usoni.atakuwa amefikisha magoli 6 katika michuano hii
 
natamani mwakani hawa madogo ndo wapelekwe kwenye league halafu wale wakubwa wauzwe na kutolewa kwa mkopo kasoro Kapombe,Kaseja,Boban,Kazimoto,Okwi na ngassa.....wawasaidie tu uzoefu hawa madogo
Hii timu ya U-20 si mchezo,kwa wanaoifahamu na waliohudhuria mechi yao hata moja tu watakubaliana na mimi.....
 
Duh!
Hawa madogo noma Dk.54 wanaongeza bao la pili kupitia kwa yule yule EDDO Christopher....anafikisha goli la 7
 
Hivi tuna nunua wachezaji wakimataifa kama akina Lino iliiweje....
 
natamani mwakani hawa madogo ndo wapelekwe kwenye league halafu wale wakubwa wauzwe na kutolewa kwa mkopo kasoro Kapombe,Kaseja,Boban,Kazimoto,Okwi na ngassa.....wawasaidie tu uzoefu hawa madogo
Hii timu ya U-20 si mchezo,kwa wanaoifahamu na waliohudhuria mechi yao hata moja tu watakubaliana na mimi.....
mimi niliwafatilia walipo kuja Arusha kwenye michuano ya Roling Stone wakiwa nchi ya Amri Said na Seleman Matola hakika wako vizuri...
 
Back
Top Bottom