Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Super Eight Cup-inaendelea mbona haichangamukiwi??? ni Azam vs Simba B nusu fainali.
 
Mpira ni Mapumziko; Simba B bado inaogoza kwa goli 1 dhidi ya Azam ya ukweli.
 
asante kwa updates.Wafungaji wamagoli ninani ?
Endrew Christopher na Dogo mwingine siku mu-note vizuri: ila mechi tayari imeisha na Simba B imefanikiwa kuingia fainali baada ya kushinda kwa 2-1 dhidi ya Azam timu iliyokuwa imesheeni nyota wake kama vili Kipre Tchetche, Abud Kassimu Babi. Humudi, Mwaikimba, Said Morad n.k: sasa Simba B itakutana na Mtibwa Sugar,
 
Safi sana Simba B.Naamini Matola atapandisha baadhi ya vijana wake kwenye timu ya wakubwa na kuzidi kuwaendeleza zaidi ili tuachane na wachezaji wahuni na wenye tamaa ya pesa kama Mbuyu
 
Tunawatakie vijana wa simba ushindi kwenye mechi ya leo na mtibwa sugar
 
Back
Top Bottom