Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
.....tuna hamu na matokeo mazuri, lakini hatuyapati!!, sijui kuna ka-mgomo baridi????
Hakuna mgomo wala nini ni rambirambi tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....tuna hamu na matokeo mazuri, lakini hatuyapati!!, sijui kuna ka-mgomo baridi????
...hapana jana ilikuwa bonanza kumbe, leo si umesikia!!, tumempiga mtu (2-0)Hakuna mgomo wala nini ni rambirambi tu...
2-1 dk ya 71
Endrew Christopher na Dogo mwingine siku mu-note vizuri: ila mechi tayari imeisha na Simba B imefanikiwa kuingia fainali baada ya kushinda kwa 2-1 dhidi ya Azam timu iliyokuwa imesheeni nyota wake kama vili Kipre Tchetche, Abud Kassimu Babi. Humudi, Mwaikimba, Said Morad n.k: sasa Simba B itakutana na Mtibwa Sugar,asante kwa updates.Wafungaji wamagoli ninani ?
Safi sana Simba B.Naamini Matola atapandisha baadhi ya vijana wake kwenye timu ya wakubwa na kuzidi kuwaendeleza zaidi ili tuachane na wachezaji wahuni na wenye tamaa ya pesa kama MbuyuEndrew Christopher na Dogo mwingine siku mu-note vizuri: ila mechi tayari imeisha na Simba B imefanikiwa kuingia fainali baada ya kushinda kwa 2-1 dhidi ya Azam timu iliyokuwa imesheeni nyota wake kama vili Kipre Tchetche, Abud Kassimu Babi. Humudi, Mwaikimba, Said Morad n.k: sasa Simba B itakutana na Mtibwa Sugar,
Tunaendelea kula zoezi yanga na azam watakomaView attachment 62275
Safi sana vijana .endelea mkuu kutupa updates wengine tupo kwenye vibaruaSimba 1 Mtibwa 0 goli limefungwa DK ya 12 na EDDO Christopher