bemg
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 2,799
- 643
Vijana wanatia moyo hata wakikosa kombe wameonyesha wanawezaDuh.....hili kombe tutalichukua kweli? mbona mtibwa wanakaza sana...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wanatia moyo hata wakikosa kombe wameonyesha wanawezaDuh.....hili kombe tutalichukua kweli? mbona mtibwa wanakaza sana...?
Tunalishukua.....tumuombe Mungu tu...Vijana wanatia moyo hata wakikosa kombe wameonyesha wanaweza
Watangazaji anasifia fainali ya leo ni nzuri sana...
Mnyama anatisha....Mnyama Bingwa
Ni kweli....
Simba Mbingwa wa SUPER8 CUP 2012/2013
Natamani tukutana na Yanga tukiwa na timu hii tuwafunge wiiki...
Kijana Eddo nimemkubali kwa mpira wake.Nadhani kocha atampa nafasi mara kwa mara ya kucheza wakati ligi itakapoanza kutimua vumbihakika mpira umechezwa maana goli saba...
Kweli hayo mamilioni wanaowapa anina Lino na mizingo mingine wawalee vizuri na makocha wazawa wawapeleke shule....Simba iwalee vizuri hawa vijana ili vipaji vyao vizidi kuimarika na hatimaye waweze kufika mbali kisoka ndani na nje ya tanzania
View attachment 62343
View attachment 62344
View attachment 62345
View attachment 62346Mwakani simba msitumie mamilioni kusajiri wajezaji kutoka nje tunzeni hawahawa...
Kijana Eddo nimemkubali kwa mpira wake.Nadhani kocha atampa nafasi mara kwa mara ya kucheza wakati ligi itakapoanza kutimua vumbi
Hongera sana vijana wa Simba, nawashukuru sana wakuu kwa update zenu leo muda mrefu nilikuwa offline hope tutakuwa pamoja siku ya tarehe 25 dhidi ya Azam. hongera sana Abuu, Miraji, Double Hassan, Seseme, Singano, Sekule, Eddo, Lucian, Ndemla, Harun na wachezaji wote pamoja na makocha Selemani Matola na Amri Said kwa kuwajenga vijana vizuri.