Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Msimnange Mafisango bure, wakati mlishindwa hata kugharamia mazishi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Ona walivyoonyesha vidole vi'3 walifikiri Azam watacheza ki'urafiki-urafiki tena kama kwenye Urafiki Cup wawafunge goli 3 tena hata kama za penalt.
Poleni watani,mkajipange upya Simba bila Okwi na Mafisango inawezekana kabisa,mwambieni hata Kocha wenu siyo kila siku - nanukuu "Its very difficult to fill Okwi's gap" - mwisho wa kumnukuu Prof Milovan

hii thread ni ya simba ..si kuna thread ya yanga kaandike kulewenzenu lambalamba wamechambishwa na karatasi...mpaka muda huu nnya bado inatema...mmmh
Yanga 2-0 Azam
hii thread ni ya simba ..si kuna thread ya yanga kaandike kule
mpaka sasa Simba 1 - 3 City Star naona gemu iko kibonanza zaidi..
mpaka sasa Simba 1 - 3 City Star naona gemu iko kibonanza zaidi..
FT Simba 1 - 3 City Star
poleni sana SI, Crashwise na Co.
Hizi pole tunazipokea; ila bado kizungumkuti.FT Simba 1 - 3 City Star
poleni sana SI, Crashwise na Co.
Hizi pole tunazipokea; ila bado kizungumkuti.
.....tuna hamu na matokeo mazuri, lakini hatuyapati!!, sijui kuna ka-mgomo baridi????kwa nini mkuu..