Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
hawa ndio wale waliokufungeni au city nyengine..
Ndiyo hawa mkuu lakini leo wameutafuta kwa tochi jipangeni mana simba ya sasa ninapiga chenga balaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa ndio wale waliokufungeni au city nyengine..
Ndiyo hawa mkuu lakini leo wameutafuta kwa tochi jipangeni mana simba ya sasa ninapiga chenga balaa...
naisubiri hiyo tarehe nane mkuu..
Njomba, Chimba chi nchezo, anafanya kutisha nnyama nkali aka wekundu wa nsimbazi
Timu ndo ziko uwanjani zinapasha pasha misuli.Jamani uwanjani national leo hakuna mwana JF???
Net iko slow sana, nitajitahidi kuwaletea matukio muhimu.
Dak 30, Sofapaka wanaongoza kwa goli moja.
Ni Kenya, kwenye uwanja wa Kasarani.hii gemu ni kenya au bongo aisee..