kwa mara nyingine tena nawapongeza vijana wa msimbazi kwa kula vibonde
Maumivu ya kichwa huanza taratiiibu. Papic angewafundisha vijana wake kupiga kabumbu kama la SSc jana, wallah wangempopoa LUPOPO na furaha ingekuwepo na sio hiyo huzuni.
 
Maumivu ya kichwa huanza taratiiibu. Papic angewafundisha vijana wake kupiga kabumbu kama la SSc jana, wallah wangempopoa LUPOPO na furaha ingekuwepo na sio hiyo huzuni.

kuna mijitu haifundishiki mazee... hebu nitajie wachezaji wawili tu wa yanga wanaofundishika
 
kuna mijitu haifundishiki mazee... hebu nitajie wachezaji wawili tu wa yanga wanaofundishika
Mkuu wale wachezaji wanafundishika kabisa,tatizo ni uongozi wao umewafanya wachezaji waamini kuwa kamati yao ya Ufundi ndio mwisho wa maneno. Teh teh teh!
 
Hongereni sana Watani...Ubingwa wenu mwaka huu,kila la heri kwa maandalizi ya CAF MTN CL mwakani...By the way(joke) hope mkipata hela za ubingwa angalau mtaenda kupaka rangi jengo lenu pale Msimbazi japo Gang Chomba kajitole kulikarabati jengo hilo,limechakaa sana jamani na linatia AIBU😀😀😀..Hongereni kwa Ubingwa(in advance) watani
 
yanga wangeacha kwenda tu zaire kwani kule ni kichapo tu wanapoteza nauli ya bure

tunataka kuwaonyesha namna ushiriki wa michuano ya kimataifa huwa unakuaje tutakapocheza kwenye kombe la CAF
 
Yanga mnanifurahisha siku hizi kwa kitendo cha kuacha kuishangilia ccm mnapofunga magoli... big up!
 
Ohoo hujanielewa wewe, namaanisha kwanini hii habari ambayo ni njema kwa sisi wanaSimba usiongezee kule ktk ile thread ya Simba? Hope umeelewa sasa
samahani mkuu sikukuelewa vizuri-simba oyee?tugange yajayo.samahani sana.
 
Jamani nasikia Yebo kashinda 6 leo dhidi ya Toto lakini mi litegemea matokeo hayo hat wangetaka kumi wangpewa tu!
 
Yanga mnanifurahisha siku hizi kwa kitendo cha kuacha kuishangilia ccm mnapofunga magoli... big up!
Labda ni baada ya Msela Manji kuwatosa! maana njaa iliyopo Jangwani ni ya kufa mtu. We fikiria mchezaji ana familia halafu tokea Decemba humpi kitu, du!
Hivi Msimbazi hawawezi kuandaa kaharambee kadogo ka kuokoa maisha ya watani zetu? maana utani ni kusaidiana katika shida kama msiba,ugonjwa na njaa kama hii inayo wakabili wenzetu.
 
Labda ni baada ya Msela Manji kuwatosa! maana njaa iliyopo Jangwani ni ya kufa mtu. We fikiria mchezaji ana familia halafu tokea Decemba humpi kitu, du!
Sio wachezaji tu, hata kocha hawamlipi. Ameamua kuomba kazi TFF na kuweka wazi kwamba mkataba wake unaisha June.
 
Zile pesa za SHINYANGA mshalipa mliwatapeli watu ili mlipie geust house kule Kagera ama vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…