Hongereni sana Watani...Ubingwa wenu mwaka huu,kila la heri kwa maandalizi ya CAF MTN CL mwakani...By the way(joke) hope mkipata hela za ubingwa angalau mtaenda kupaka rangi jengo lenu pale Msimbazi japo Gang Chomba kajitole kulikarabati jengo hilo,limechakaa sana jamani na linatia AIBU😀😀😀..Hongereni kwa Ubingwa(in advance) watani[/QUOTE]
Hili ni la msingi sana mkulu wangu....
Hivi wachezaji wenu wameshalipwa mishahara ya january na december?? walilalama sana aisee wakiomba msaada kitaa na kwenye vijarida
Wachezaji washalipwa kila kitu now...Kondic ndo alikuwa anafanya usanii yule,ndo maana unaona hata perfomance yao imeimprove
Hivi Chapati za Simba wa Yuda KADU mlimlipa jamani??,maana mpaka sasa hivi akilewa anaanza kulalama kwamba kazimwa hela aliyotumia kuwanunulia chapati wachezaji...(utani wa jadi raha sana bana)