Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wajomba nasikia mnashika nafasi ya 3 sasa...
Haya kuweni makini mgambo nao wanakuja wangu wangu...
hapohapooo panatosha, taratibu tunaanza kutafuta nafasi yetu ya siku zote, kama tusingewapisha kidogo Wazee wa Vibalagashia wangewamaliza.wajomba nasikia mnashika nafasi ya 3 sasa...
Haya kuweni makini mgambo nao wanakuja wangu wangu...
Walioko juu wote watashuka chini bado mechi nyingi na simba kukaa kwenye nafsi yakewajomba nasikia mnashika nafasi ya 3 sasa...
Haya kuweni makini mgambo nao wanakuja wangu wangu...
wazee wa mlungula leo lazima washinde wameshawapa watu mlungula nasikia refa kashapewa chake mapema asante hans pope kumbe nafasi ya kaburu unaiweza
Tatizo lenu mnahonga sana nyie Simba ili mshinde hapo tu ndio mnapotuboa.Nilijua mnhonga marefa tu kumbe hata wachezaji pinzani? Hizo pesa mnazohonga wachezaji timu pinzani si mngetoa kwa wachezaji wenu ili wapate motisha?