Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
simba mnamvulia mpaka Toto?
Duh kweli Punga hana mkole.
Duh kweli Punga hana mkole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
timu ya soka ya Simba yenye maskani yake mtaa wa msimbazi Kariakoo imemaliza mzunguko wa kwanza wa ligi kuu Tanzania Bara kwa kushika nafasi ya 3.
Simba huyu wa kibisa ameonekana kutepeta zaidi na kulegea nyang'anyang'a mpaka macho kurembua na kisha mashababi kujibebea zigo kwa mechi zilizochezwa nje ya uwanja wa Taifa.
Itaendelea...
GC salama aleykum shekhe..
Hiyo ni biashara yake tu, hakuna Simba hapo na atajijua yeye na familia yakeKATIBU WA ZAMANI WA SIMBA HASANOO KORTIN
KWA WIZI WA PEMBE ZA NDOVU Mtuhumiwa namba moja wa biashara haramu ya
kusafirisha na kuuza nyara za serikali,Pembe za
ndovu,Hong Kong ChinaKatibu wa zamani wa
Simba, Hassan Othman (Hasanoo, kipelekwa
kizimbani kusomewa mashitaka yanayomkabili
yeye na wengine kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,Dar es salaam jana. MWENYEKITI wa Chama cha Soka Pwani (Corefa),
Hassani Othman maarufu kama Hasanoo (43) na
wenzake watano wamefikishwa katika
Mahakamaya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa
na mashtaka matatu, likiwemo la uhujumu
uchumi na kusafirisha pembe za ndovu (Meno ya Tembo)** kutoka Dar es Salaam kwenda Hong
Kong, yenye thamani ya Sh1.1 bilioni.
achana na wanaotumia hela za wizi na ufisadi, simba ndo timu bora tanzania
Waulize wenyewe.JKT wamewafunga ngapi?
JKT wamewafunga ngapi?
Waulize wenyewe.
ukiona kimya ujue ameliwa au amenusurika kuliwa
kwa matokeo ya jana heshima imerejea mjini juzi walikuwa wanachonga sana