timu ya soka ya Simba yenye maskani yake mtaa wa msimbazi Kariakoo imemaliza mzunguko wa kwanza wa ligi kuu Tanzania Bara kwa kushika nafasi ya 3.

Simba huyu wa kibisa ameonekana kutepeta zaidi na kulegea nyang'anyang'a mpaka macho kurembua na kisha mashababi kujibebea zigo kwa mechi zilizochezwa nje ya uwanja wa Taifa.

Itaendelea...
 

GC salama aleykum shekhe..
 
KATIBU WA ZAMANI WA SIMBA HASANOO KORTIN
KWA WIZI WA PEMBE ZA NDOVU Mtuhumiwa namba moja wa biashara haramu ya
kusafirisha na kuuza nyara za serikali,Pembe za
ndovu,Hong Kong ChinaKatibu wa zamani wa
Simba, Hassan Othman (Hasanoo, kipelekwa
kizimbani kusomewa mashitaka yanayomkabili
yeye na wengine kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,Dar es salaam jana. MWENYEKITI wa Chama cha Soka Pwani (Corefa),
Hassani Othman maarufu kama Hasanoo (43) na
wenzake watano wamefikishwa katika
Mahakamaya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa
na mashtaka matatu, likiwemo la uhujumu
uchumi na kusafirisha pembe za ndovu (Meno ya Tembo)** kutoka Dar es Salaam kwenda Hong
Kong, yenye thamani ya Sh1.1 bilioni.
 
Hiyo ni biashara yake tu, hakuna Simba hapo na atajijua yeye na familia yake
 
Karibu simba nyumbani baada ya kupata mazoezi ya makali na yakutisha.Kila la kheri mwaka2013 uwe waneema kwetu na mtuwakilishe vzuri taifa
 
Karibuni nyumbani wanajeshi wetu. Mwokozi wa soka letu. Kuanzia national team, kuuza wachezaji, kupeperusha vyema bendera ya tz. Karibuni sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Simba timu tunawatakia ushindi katika kila mechi iliyombele yenu na kwenye michuano yote mtakayoshiriki mwaka huu 2013
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…