Wanamsimbazi tupeni updates kwa wale muliopo uwanjani.Kila la kheri mnyama simba
 
ni dk ya 11 bado 0-0 ila Libolo inaoenekana wameanza kwa kasi.

Asante mkuu kwa updates .Simba nguvu moja itashinda muhimu watumie vzri nafsi watakazopata huku wakizuia hawa

waangola wasitupie mpira wavuni
 
libolooooooooooooooooo goooooooooooooo wwanapata goli lakuongoza..
 
walinzi wa kati wa-Simba Nyosso na Keita wanategeanategeana mpaka wametusababishia madhala.
 
mpira ni dak 90 simba wakazane watupe ushindi wa nyumbani ni muhimu sana wapige hata 4-1
 
mpira ni dak 90 simba wakazane watupe ushindi wa nyumbani ni muhimu sana wapige hata 4-1
Umeiona simba kwa siku za karibuni....Tujipange kwa ajiri ya lingi ya mwakani hata tukishinda kwa timu niliyoiona juzi hakuna kitu ila tuna vijana ambao kwa mwakani tutakuwa na timu nzuri sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…