Hamna mbaya kiongozi; na ni faida kwa walio nje ya uwanja. Endelea.mi natoa updates si shangilii..
hiyo Simba TV haionyeshi?
nice prediction..
J Martins
Ndiyo mkuu tunataka turahisishe kazi kama Azam hapo jananice prediction..
Mwanamuziki huyu wa Marekani.
simba watulie tu wakichomoa tu wameshinda..
I hope second half; things will be different in +ve ways to Simba though our striking force is very lowHT Simba 0 - 1 R Libolo
I hope second half; things will be different in +ve ways to Simba though our striking force is very low
Kumbe J Martins ni mmarekani..!Mwanamuziki huyu wa Marekani.
Hawa Libolo hivi ni nchi gani vilee
Kumbe J Martins ni mmarekani..!
Matokeo yakiwa hivi mpaka mwisho, mtaani sijui kutakuwaje....
Huyu msomali anatuzingua tu na huyo malkia wake wa nyuki.Mkuu kwema...mbona mnashindwa kufanya mambo mliowafanyia Atletico Aviacao...