Of coz - lazima tujipe matumaini one goal to nil is not a big deal; kwao tunaweza kuwangaza endapo Sunzu na Edward Christopher kwenye hiyo mechi wakipewa nafasi.Tujipe matumaini kwao Angola tunaweza kuchomoa na kuingia hatua ya pili
......ndo hivyo bwana.Dah.......!!!!!
Simba imekua kama malaya wa kona bar
oi Usichezee Libolo
chama kubwaaaaa
tujiandae uwacha kichapo yeboyebo tu leo
magazeti ya kesho,
majira simba yakalia libolo...
Nipashe Libolo moja tu simba hoi...
mwananchi libolo laichana simba...
kasheshe simba ndembendembe kwa libolo...
tz daima chezea libolo weye!