1..NdaLa 40...match 17
2..Azam 39(2 mkononi) 15
3..Simba 39...match 17
 
bado hatujamwamini kwa kiasi kikubwa ila mechi na yanga ndo itakayo amua tumpe timu au abaki kuwa kocha msaidizi
Duh kweli mpira wetu bado yan mayanja mechi ya yanga ndo itaamu kama apewe au asipwe kwan ligi ina timu mbili simba na yanga acheni izo mambo bana mayanja karejesha iman kwa wanamsimbaz ata tukipigwa na yanga apew tu ivi kocha wa simba anaajiliwa kwa ajir ya kuifunga yanga tu
 
Mpira bado kweli! ila kumbuka maneno yangu katika post hii
 
Reactions: Lee
...vipi leo game na stand united wadau,matokeo yakoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…