Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
..bora tukae juu kwa mara ya kwanza tokea msimu wa 2012/13..
 
Mpira umekwishaaaaaaa Simba SSC 2-Stand 1.Simba anakwea mpaka nafasi ya kwanza
Samahani hii si mahali pake lakini nauliza tuu, jee wale waliokuwa wanaenda Mauritius wamefanikiwa? Maana kuna mtu kaniambia baada ya kukosa usafiri wa pipa walipewa MV Dar es salaam ile ya saa 3 mpaka Bagamoyo? Ila mpaka huko si watafika jumatano na refa kesha ondoka
 
Azam TV wamehujumu mpira wa leo kati ya Simba na Stand
Matokeo ya kuwapa udhamini watu wenye timu ligi kuu ndiyo hayo, haya hivyo hilo halipunguzi kasi ya gari kubqa breki ndiyo imeshakatika na dereva kang'oa pedel katupa nje shauri yao wakatizao barabara ya Msimbazi.
 
Back
Top Bottom