Punguza ushabiki ile ni red card halali na yule beki hata angepona pale still zisingepita dakika 10 angepata red card
Mbuyu Twite kutopewa kadi haimaanishi kuwa Banda naye hakustahili kadi
 
Tumefungwa juzi kwa bahati mbaya,lakini kiuwezo Simba wapo vizuri sana,na kama sio kutoka Banda yanga tulikuwa tumeshawakamata vibaya kiungo.Maoni yangu kwa viongozi wa Simba,timu inacheza vizuri sana,inacheza mchezo wetu wa asili(wa kupigiana pasi-tik tak),burudani na ushindi.Cha msingi wasivuruge timu,waongeze tu washambuliaji wakali na mabeki.Simba hii itakuwa kali sana msimu wa 2016.Msiivuruge na washabiki tuendelee kuwasapoti.
 
YANGA THREAD 86K views tangu2008-2016
SIMBA THREAD 199K views tangu2010-2016

alafu bado unahoji timu yenye wafuatiliaji wengi [emoji13]
 
Mpaka mapumziko bado milango ni migumu, hapa nilipo umeme umekatika ivyo mwenye matokeo atujuze
 
...mwenye matokeo ajisogeze wajameni,tunazihitaji pointi tatu,hatutaki kingine..
 
Reactions: Lee
Ngomaaa badooo drooooo,, comeeee on simbaaaaaaaaaa
 
Mikia bwana! Mpaka sasa mnaogopa kufuatilia mechi yenu ya VPL!! Mmejana kwenye thread ya Yanga! Hamjiamini????
 
Hawatoki hawa miili mikubwa kama wabeba mizigo #prisons






Na mpira umekwishaaaaaaaaaaaaa
 
Reactions: Lee
SISI NDIO SIMBA HATUNA MANENO MENGI KAZI YETU VITENDO
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…