Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Punguza ushabiki ile ni red card halali na yule beki hata angepona pale still zisingepita dakika 10 angepata red cardlazima tumuamini kwa kuwa yeye ndio alisimama na mwamuzi haijalishi kama kulikuwa na Wachezaji wengine au Vipi.. Ni upuuzi kuiacha Rafu ya Mbuyi twite kwa Shabalala harafu unakwenda kutoa kadi kwa mtu aliyesukuma kwa bega kisha kujirusha. Nadhani kama aliiangalia mechi Ya Jana kati ya Chelsea na Man city atakuwa amejifunza kitu kuhusu utoaji wa kadi..
Mbuyu Twite kutopewa kadi haimaanishi kuwa Banda naye hakustahili kadi