Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
26872494_187204338536646_4053008251795537920_n.jpg

TUKUTANE TAREHE 29...
[HASHTAG]#SIMBANGUVU1[/HASHTAG]
[HASHTAG]#MWAKAWETU[/HASHTAG]
 
Mwaka wetu ushindi wetu mitulinga fc. Mbeya city wanawasalimia tar29 itaongeaaa
 
Wekundu Wa msimbazii jmn hebuu Kama kuna group lolote la WhatsApp la msimbazii naombaa m mm iniadd plz
 
kuna mtu ana gundu mliompeleka uwanjani leo kwa mara ya kwanza
 
Dondoo muhimu:

Magufuli: Simba mmetukwaza sana leo mashabiki wa Simba.

Magufuli: mimi sina timu ni mshabiki wa Taifa stars.

Magufuli: kwa mpira huu Simba hamfiki popote kwenye kombe la Afrika.
 
OMBI KWA MOD'z:
>>Naomba mu'Edit Uzi huu wa SIMBA Sc.. hapo kwenye vikombe.
Kuna kombe la VPL la Unbeaten 2013.
Kuna kombe la F.A la msimu wa 2017.
Kuna kombe la VPL 2018.

Asanteni.
 
UJINGA ni nipale unapomkimbia SIMBA sportpesa afu unakutana nae CECAFA patamu hapo...
 
Back
Top Bottom