Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
jamani mechi za simba vs gor mahia na singida vs homeboyz sangapi? kuna mwenye link ya kutizamia online? msaada tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndioHivi simba inacheza leo?
Saa ngapi wadaundio
sijui, saivi wanacheza gormahia vs vipersSaa ngapi wadau
Hawata kupa jibu. Kitu kama six o'clockJmn habar zenu Hum ndan mm n shabik wa simba but kwa week hiz mbil cna updates za timu yang nackia mtaan tu mara walikua wanacheza mara wamefungwa cjuw wamefungwa naomben mnipe mrejesho plz celew kinacho endelea
Manula, wawa, Mlipili, kwasi, Nyoni, chama, kapombe, kichuya, kagere, bocco na OkwiMambo Ni Moto
Muda ganiLeo simba unacheza na wamoroko mechi ya kirafiki,