helashatonga
Member
- Jul 20, 2018
- 26
- 18
Mbona Mimi sioni hii game ya Simba Vs prison na Azam tv iko onAzam tv
E&K
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Mimi sioni hii game ya Simba Vs prison na Azam tv iko onAzam tv
E&K
Timu wamuamini Masoud tu tatizo letu kwanza tunasajili ovyo pia tunataka mafanikio ya harakaNina wasiwasi na Uwezo Wa Huyu Kocha Wetu nahisi aangaliwe upya mbinu za ufundishaji wake.
Ulitaka afanyeje, mpira umechezwa vzr nafasi zimetengenezwa, ulitaka aingie yeye akafunge au.Nina wasiwasi na Uwezo Wa Huyu Kocha Wetu nahisi aangaliwe upya mbinu za ufundishaji wake.
Wengine wanadhani simba itakua inashinda tano, nne kila metch.Wabongo bana cha muhimu team imeshinda na imecheza vizuri
Prison walikuwa wazuri kuzuia na kama uliangalia huu mpira vizuri nafasi za magoli za simba zilikuwa tatu tu huku prison wakiwa na 2
Kilichonifurahisha ni kutomuona Kwasi na Emanuel Okwi na bado team ikaparfom vizuri
Good team
Hongereni prisons ndio team zinazotakiwa kwenye league mlipambana na muendelee kupambana hivyo hivyo sio kwa team kubwa tu
E&K
Asante Haj ManaraWengine wanadhani simba itakua inashinda tano, nne kila metch.
Afu watu tuache kuongea umbea timu kuweka kambi uturuki si kwamba walienda kupata kozi ya kucheza mpira ile ilikua tu ni maandalizi kwa ajili ya kocha kutengeneza chemistry yake atakayoitumia.
Ni sawa tu na walioweka kambi morogoro, Zanzibar nk
Wasiojua mpira wanayachukua maneno ya utani wa simba na Yanga na kuyaleta uwanjani, mpira hauko hivyo kila timu inajiandaa.
Ko matokeo ya aina yote tatu yanaweza kujitokeza,
Mi hata simba ingefungwa wala nisingelaumu mana timu imecheza vzr, imetengeneza nafasi.
Zaidi tuwasifu wapinzani walikua vzr japo tumeshinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona kimya sana humu? matokeo tafadhali!!!
Kazi unayooHakuna timu hapa,ni kigenge tu cha wahuni wamejikusanya kufanya mazoeziView attachment 849663
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna timu hapa,ni kigenge tu cha wahuni wamejikusanya kufanya mazoeziView attachment 849663
Sent using Jamii Forums mobile app